Hospitali ya Wilaya Kisarawe Yasaidiwa Shuka 375 na LAPF

   Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jaffo, akisisitiza jambo. Kutoka kulia ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Juma Kanena, aliyemwakilisha OCD katika hafla hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe, Patrick Allute na Mwenyekiti wa Huduma za Kijamii wa Halmshauri hiyo, Abel Mudo.   MFUKO wa Pensheni wa LAPF, umetoa msaada wa mashuka 375 yenye thamani ya sh.milioni nane kwa …

Kijana Huyu Anaitaji Msaada Wako Aweze Kutibiwa…!

Kijana ABEL MACHANG’A, mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa Jijini Dar es Salaam, ambae anasumbuliwa na maradhi ya macho, akizungumza na waandishi wa habari ili kuomba msaada wa kupelekwa nje ya nchi kwa ajili ya kupatiwa matibabu.     Na Mwandishi Wetu   Kijana Abel mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa jijini Dar es …