Mawaziri wa Zamani, Mramba na Yona Wahukumiwa Kifungo Jela

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu kila mmoja aliyekuwa waziri wa zamani wa Fedha, Bazil Pesambili Mramba na aliyekuwa Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bilioni 11.7. Hata …