Halmashauri Mpanda Yatumia bilioni 2.6 kwa Maendeleo

Na Kibada Ernest, Katavi HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015 imetekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 2.6 katika sekta tofauti. Akitoa Taarifa ya utekelezaji wa  miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2014/2015, na mwelekeo wa mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2014/2015 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya …

DC Azinduwa Mtambo wa Nitrogeni Mpanda

Na Kibada Kibada- Katavi MKUU wa Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, Paza Mwamlima amezindua Mtambo wa Kuzalisha Kimiminika cha Nitrogeni utakaotumika katika kuhifadhi mbegu bora za mifugo kwa ajili ya uhamilishaji mifugo na kuwezesha upatikanaji wa kosaafu za ng’ombe zenye tija. Akitoa Taarifa ya Mtambo huo, kwa Mkuu wa Wilaya Ofisa Mifugo kutoka Idara ya Mifugo na Uvuvi Laurensi Elias ameeleza kuwa Mtambo huo uliletwa …