Matukio Majumuisho Ziara ya Rais Kikwete Mkoa wa Morogoro

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris  alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro Rais Kikwete akiwashukuru wafadhili wa miradi ya afya ya mama na mtoto …