Japan Yaipa Halmashauri Monduli Milioni 250

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa Balozi huyo,Masaki Jijini Dar es salaam,kulikofanyika hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,jijini Arusha.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola …