AccessBank Yawaletea Wajasiliamali Akaunti Isiyo na Gharama Sabasaba

            BANKI ya ‘AccessBank’ inayoshiriki Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam imeendelea kutambulisha akaunti yake ya ‘RAHISI’ yenye mvuto mkubwa kwa wajasiliamali mbalimbali. Akizungumza leo kwenye Banda la AccessBank kwenye maonesho ya Sabasaba, Ofisa Masoko wa banki hiyo, Sijaona Simon alisema Rahisi …

Salio la TTCL Sasa Kupatikana kwa ‘Mobile Banking’

KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) sasa imerahisisha upatikanaji wa vocha zake baada ya kuingia makubaliano kuishirikiano na benki 13 nchini zinazotoa huduma zake pia kwa kupitia simu za mkononi (Mobile Banking) ambapo sasa mteja wa TTCL ataweza kuongeza salio kupitia simu yake ya mkononi (TTCL top-up). Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Meneja Mipango na …