Mo Dewji Foundation Yamsaidia Mlemavu Baiskeli ya Kutembelea

TAASISI ya MO DEWJI FOUNDATION   inayojishughulisha na miradi ya kusaidia jamii Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwemo Afya, elimu na maji mwishoni mwa wiki imeweza kumpatia  kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (tricycle) itakayomsaidia katika kutembelea kwenye shughuli zake za kila siku. Tukio hilo la makabidhiano limefanyika katika ofisi za Mo Dewji Foundation jijini Dar es …