Mlipuko waua watu 6 katikati ya jiji la Nairobi.

Mlipuko katika eneo ambalo ni maarufu kwa watu wenye asili ya kisomali umeua watu 6 na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea siku ya Jumatatu, “the National Disaster Operations Centre” imeeleza. Hamna mtu au kikundi kilichojitokeza na kusema kimehusika na tukio hilo. Matukio kama haya yamekuwa yakihusishwa na kikundi cha Al Shabaab, kundi hili lilivamia watu waliokuwa katika “Shopping mall” …