Mkwasa Atambulishwa Stars, Awaita Wachezaji 26

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari. Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi kesho kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya …

TFF Yamtimu Mart Nooij Stars na Kumtangaza Mkwasa

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania – TFF, Jamal Malinzi ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), mholanzi Mart Nooij na kumtangaza Charles Mkwasa kuwa kocha mpya wa timu hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Tansoma, Malinzi amesema wameamua kuagana nae mbele ya vyombo ya habari kama iliyofanyika …