Mauaji Wakenya; Mkuu wa Polisi Kenya Ajiuzulu

INSPEKTA Generali Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kujiuzulu ikiwa ni shinikizo kutokana na yeye kushindwa kuwajibika juu ya matukio kaadhaa ya ushambulizi toka kwa wanamgambo wa kundi la Al Shabaab yanayoendelea kupoteza maisha ya raia wa Kenya. Generali Kimaiyo ametangaza uamuzi huo huku yeye akiuita kustaafu mapema kutokana na kushindwa kuwalinda raia wa nchi hiyo, …