Mkuu wa Mkoa Mwanza Awakomalia Watendaji wa Jiji

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amekerwa na hali ya uchafu iliyopo katika mitaa ya Jiji la Mwanza na kuwaagiza watendaji wa halmashauri hiyo kuacha kukaa ofisini na badala yake watoke na kwenda kuwahudumia wananchi katika maeneo yao ya kibiashara. Mulongo ametoa kauli hiyo jijini Mwanza, mara baada yakufanya ziara yakutembelea maeneo yaliyotengwa maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo Jijini humo …