Matukio Mkutano wa Wahitimu wa CBE

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya, Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi na Mlezi wa Umoja …

JK Awasili Kenya kwa Mkutano Maalum

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili Nairobi, Kenya, usiku wa Septemba Mosi, 2014, tayari kwa kuhudhuria Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) ambako Tanzania ni mwanachama. Mkutano huo wa siku moja ambao utajadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika umepangwa kufanyika, Septemba 2, …

Maono hasi Yanaipotosha Sekta Binafsi ya Marekani Kuhusu Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji wao katika Afrika kwa sababu wanapata habari sahihi na za kweli kuhusu Afrika kutoka kwa vyombo vyao vya habari. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani …