Mkutano wa Kimataifa wa Hifadhi ya Jamii

Naibu  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii unaotarajiwa kumalizika leo jijini Arusha. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima. Na …

Balozi Seif Iddi Afungua Mkutano wa Kimataifa wa Hifadhi ya Jamii

Wageni mbalimbali wanaoshiriki mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha ulioanza leo katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC) wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa mkutano huo. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog). Na Mwandishi wetu MAKAMU wa pili wa rais Zanzibar  Balozi Seif Ali Iddi, amesema …

Dk Bilal Awahutubia Wawakilishi Mkutano wa Mazingira Afrika

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal Desemba 10, 2014, amewahutubia wawakilishi wa Afrika katika Mkutano wa Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, nchini Peru. Mheshimiwa Makamu wa Rais anahudhuria mkutano huu akimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Kiongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi. Mkutano huo …

Matukio Mkutano wa Tano wa COMNETA Dodoma

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015 unaolenga kuboresha demokrasia amani nchini katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ujao, unaofadhiliwa na Shirika La Kimataifa la Maendeleo (UNDP) ulioenda sambamba na mkutano wa tano wa Mtandao …

TTCL Yaanzisha Kituo cha Intaneti ‘IP Pop’ Tanzania

KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) imeanzisha kituo cha kuuzia huduma za interneti ‘IP Pop -Internet Protocol Point of Presence’ nchini ikiwa ni jitihada za kuboresha huduma za mawasiliano zaidi. Huduma kama hii awali ilikuwa ikinunuliwa nje hasa makampuni anuai yanayotoa huduma hizo barani ulaya. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Ofisa Mkuu Mauzo na Masoko wa …