Mkutano ukiendelea. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. MKURUGEZI Mtendaji waTaasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amasema taasisi hiyo imeandaa mkutano wa mashauriano utakao wakutanisha viongozi wakuu wa Serikali,viongozi wa dini pamoja na viongozi wa kisiasa kujadili hali ya amani nchini.Akizungumza jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitoa taarifa za mkutano huo kwa …