NSSF Yahairisha Mkutano Wake na Wadau

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linasikitika kuwatangazia Wadau wake wote na umma kwa ujumla kuwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu Mkutano wa Tano wa Wadau uliokuwa ufanyike tarehe 5-7 Mei, 2015 jijini Arusha umeahirishwa. Tarehe mpya ya mkutano huo itatangazwa kwenye vyombo vya habari. Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza. Kwa maelezo …