Waziri Dk Mwakyembe Atembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dk, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon Mpanju, 5 Januari, 2016 Jijini Dar …