Mkuranga Watakiwa Kuchangia Damu

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Mkuranga WANANCHI wilayani Mkuranga wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwenye benki ya damu iliyoko katika hospitali ya wilaya hiyo ili kupunguza tatizo la uhaba wa damu linaloikabiri hospitali hiyo. Kauli hiyo ilitolewa jana wilayani Mkuranga na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya hiyo, Dk. Anwar Milulu wakati akipokea msaada wa mashuka 90 yaliyotolewa na Chuo …

Watakaohamia Kijiji cha Wasanii Kupewa Bustani Bure

Na Mwandishi Wetu MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umetoa bustani bure kwa wanachama wake wanaomiliki nyumba katika kijiji chao cha Mwanzega Mkuranga ikiwa ni kuwawezesha watakaoamia kuendesha shughuli za kilimo. Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa watakao nufaika na ofa hiyo ni wale watakaohamia katika nyumba zao kabla ya Desemba mwaka …