TTCL Yaiunganisha TBL Katika Mkongo wa Mawasiliano

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imekabidhi mradi wa kuiunganisha matawi 12 ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika huduma za mawasiliano ya sauti, intaneti pamoja na data ili kuviwezesha vituo hivyo kufanya kazi katika mfumo wa kisasa kimawasiliano jambo ambalo litaboresha utendaji kazi wa kampuni hiyo. Akikabidhi mradi huo leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mkuu wa …

Matukio Hafla ya NIC Kukabidhi Mradi Usimikaji Mkongo

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) limekabidhiwa mradi wa kuunganisha ofisi ya Makao Makuu na Matawi yake 24 yaliyopo nchi nzima pamoja na makao makuu ya NIC kwenye Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania …