Suluhu kwa Wagonjwa wa Figo, Mfumo wa Mkojo Yapatikana

SULUHU kunufaika na kile ambacho wachambuzi huona kama nafasi adimu katika sekta ya afya. Hii ni kwasababu nchi inatarajia kupokea wataalamu wawili kutoka taasisi mashuhuri ya matibabu duniani. Kwa kushirikiana na madaktari kutoka hosipitali ya Hindu Mandal. Madaktari kutoka hospitali ya Apollo watahudumia na kutoa ushauri kwa wagonjwa wa figo na mfumo wa mkojo siku ya Oktoba 10 na Oktoba 11 …