Maabara ya Mkemia Mkuu Yabaini kg 6,428 za ‘Unga’

Na Fatma Salum MAELEZO WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kubaini jumla ya kilogram 6,428.12 za sampuli mbalimbali za dawa za kulevya kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba 2013. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Makosa ya Jinai na Vinasaba kutoka Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bi.Gloria Omari katika mkutano …