Na Magreth Kinabo – Maelezo RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mpango Mkakati wa kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi kwa akinamama na watoto ifikapo mwaka 2015 utakofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo imetolewa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa …