Watanzania Watakiwa Kuing’ang’ania Amani…!

Na Frank Mvungi – Maelezo WATANZANIA wametakiwa kuendeleza amani na mshikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa shirikisho la vyama vya watu …