Miundombinu Yawakwaza Watalii wa Ndani Mlima Kilimanjaro

Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara . Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza. Afisa …

Mbunge Mtemvu Afanya Ziara Kuangalia Miundombinu ya Majitaka

  Diwani wa Soko la Tazara Vetenary Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa  na mvua akiongozana na  viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) jinsi maji yanavyotakiwa kufata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo .    Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi …

Mkoa wa Mbeya Kuboresha Miundombinu Kuvutia Utalii…!

Wanahabari  wakitazama  Kimondo Mwanahabari  wa Gazeti la Habari  Leo  Iringa na Mwenyekiti wa Chama  cha Waandishi wa Habari  Mkoa  wa Iringa Frank  Leonard  akitoka  kutazama  Kimondo Mgeni  akisaini kitabu cha wageni katika  ofisi ya makumbusho ya mambo ya kale  ya  Kimondo Mbeya Mhifadhi  akionyesha  jiko  ambalo  linatumika  eneo  hilo Nyumba ya  wahifadhi  wa makumbusho ya mambo ya kale ya  Kimondo …

TPDC Yaweka Hadharani Ujenzi Miundombinu ya Gesi Asilia

   Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwande akielezea kwa kina juu ya Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara, Songo Songo, Lindi, na Pwani hadi Dar es salaam leo. Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO Injinia Kapuulya Musomba akizungumzia juu ya utekelezaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa …