IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ukarabati wa meli ya MV Umoja kutarudisha huduma ya usafirishaji wa mizigo katika kanda ya ziwa kupitia bandari ya Kemondo iliyopo mkoani Kagera. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, wakati akikagua Bandari hiyo kuangalia maendeleo yake, na kuitaka Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA), Shirika la Reli …
Ujenzi Daraja la Juu Ubungo Kuanza Mara Moja, Mkataba Wasainiwa
WAKALA wa Barabara nchini (TANROADS), umetiliana saini na kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) mkataba wa ujenzi wa barabara za Juu ‘Interchange’ katika makutano ya barabara ya Sam Najoma na Mandela Ubungo jijini Dar es salaam. Mkataba huo unamtaka Mkandarasi kampuni ya CCECC kutoka China kuanza ujenzi huo mara moja na ujenzi huo …
Wizara ya Fedha Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akizungumza na Wanahabari kuhusu Wizara yake ilivyotekeleza Agizo la Rais Dkt. John Magufu kuhusu kumlipa Mkandarasi anayejenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 3). Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Doto James, Wizara ya Fedha na Mipango imemlipa Mkandarasi anayejenga Mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege …
Mv Tanga na Magogoni Kuanza Kazi Mwezi Huu
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga, amekagua na kuridhika na hatua ya ujenzi na ukarabati wa vivuko vitatu na tishari moja unaoendelea Jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara baada ya kukagua ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni, MV Tanga, New MV Magogoni na Tishari litakalotumiwa na Kivuko …
Prof Mbarawa Akomalia Mapato Sekta ya Miundombinu Musoma
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewataka watendaji walio chini ya Wizara yake kuongeza kasi ya kukusanya mapato ili kuwezesha malengo ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi kufikiwa kwa wakati. Akizungumza na watumishi wa sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino mjini Musoma, Prof. Makame Mbarawa amesema kufanya kazi kwa …
Benki ya Dunia, Serikali Kukarabati Mitaro Temeke
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO SERIKALI kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inategemea kuanza ukarabati wa Miundombinu mibovu hususani ya mitaro inayosababisha maafa wilayani Temeke kuanzia mwezi Mei mwaka huu. Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Ofisa Habari wa Wilaya ya Temeke Joyce Msumba alipokua akizungumza ofisini kwake kuhusu maafa yaliyotokea maeneo ya Sokota, Shule ya Sekondari ya Kibasila …
- Page 1 of 2
- 1
- 2