TCRA Yapiga Marufuku TV za Mitandaoni…!

Na Sultani Kipingo MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezuia mtu yeyote kuendesha huduma za TV Mtandao nchini hadi hapo itakapoweka utaratibu wa kusajili huduma hizo. Kwa taarifa hizo imewataka waendeshaji wa huduma hizo wakiwemo Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandao hadi hapo kanuni za usajili rasmi ambazo mamlaka hiyo imesema inaandaa kwa huduma hizo. Barua hiyo, …

Mitandao ya Kijamii Yatishia Amani Magazeti ‘Print Media’

TAARIFA ya utafiti inaeleza kuwa vyombo vya habari vya asilia hususan magazeti vinakufa kadri teknolojia ya upatikanaji habari inavyo kuwa. Hivi sasa vyombo vingi vya aina hiyo vinajikongoja kutokana na  mauzo hafifu na mdororo wa mapato upandea wa matangazo jambo linalovilazimu kupunguza wafanyakazi.  Kwa mujibu wa utafiti wa ‘Pew Research Centre’ unabainisha kuwa wakati idadi ya wasomaji wa habari za magazeti ya …

Zijue Mbinu za Wahalifu wa Mitandao ya Kijamii

Na Benedict Liwenga, Maelezo – DSM MITANDAO ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha endapo inatumiwa kulingana na madhumuni yaliokusudiwa, kwani ina nguvu ya kusambaza taarifa na habari kwa haraka kwa wakati mfupi dunianzima. Pamoja na umuhimu nwa mitandao hii ya kijamii, kuna baadhi ya watu ambao wao hujiona kuwa wameendelea katika ulimwengu wa kisayansi na teknolojia kiasi cha kuanza kuitumia …