Mitandao Inavyochochea ‘Rushwa’ ya Ngono

Na Mwandishi Wetu WANANCHI kwa ujumla wanatakiwa kuwa makini na matumizi ya mitandao mbalimbali kwa kutumia simu zao za mkononi, kompyuta na vifaa vingine. Hii ni kutokana na baadhi ya watu kutumia mitandao vibaya kwa kuwatishia watu na hata kwa wizi kwa lengo la kujipatia kipato toka kwa marafiki wakaribu au wapenzi wao wa zamani kwa kuitaji kiasi kikubwa cha …