UNESCO Wafadhili Kozi Kuboresha Mitaala ya Elimu Afrika

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wamewezesha kozi kwa baadhi ya nchi za Afrika yenye lengo la kuboresha mitaala ya elimu. Akizungumza kwa niaba ya Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya …