MISS Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto. Huu ukiwa ni mwendelezo wake katika kufanya kazi za kijamii, Caroline ambaye ndiye aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania 2014 ataendelea kulitumikia taji lake kama mrembo mtawazwa ingawa alishindwa kwenda kushindana kimataifa kutokana na …
Mshindi wa Pili Miss Universe Kuiwakilisha Tanzania Kimataifa
KAMATI ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani. Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha …
Miss Universe 2014 Waingia Kambini Golden Tulip Hotel
WAREMBO wa Miss Universe Tanzania 2014 wameanza rasmi kambi katika hoteli yenye hadhi ya kipekee Golden Tulip Hotel. Hii ni kwa ajili ya kujiandaa na fainali ya Miss Universe Tanzania 2014 itakayofanyika tarehe 02 mwezi Octoba. Miss Universe Tanzania pia imeandaa mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kuwapa warembo ili kujitambua kama vijana na kama wanawake. Mafunzo hayo yatakuwa yakitolewa na …
Miss Universe Tanzania 2011 Enrolls at New York Film Academy
MISS Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu is in New York and has started her studied in acting at the New York Film Academy. New York Film Academy-School of Film and Acting (NYFA) is a for-profit film school and acting school based in New York City. Nelly’s enrollment is part of her scholarship to the institution that she was awarded when …