Beach Soccer: Tanzania Kuvaana na Misri

*Mkutano Mkuu TFF Machi 14, Ajenda Zatajwa TIMU ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni (Beach Soccer) inatarajiwa kucheza na timu ya Taifa ya Misri siku ya ijumaa majira ya saa 10 kamili jioni, mchezo utakofanyika katika klabu ya Escape 1 Msasani jijini Dar es salaam.   Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinaendelea na mazoezi kujiandaa na …

Kukata Viuno ‘Hadharani’ Marufuku Nchini Misri

BODI ya Kidini ya Misri, imetoa tamko la kukataza uoneshaji wa kipindi kilichoanzishwa kwenye Televesheni nchini humo kuonesha michezo ya jadi ya wanawake wa misri kukata viuno (kunengua)almaarufu ‘belly dance’. Ngoma hiyo inayofanana na chakacha ya waswahili ilianza kuchezwa tangu zama za kale na imenakiliwa hata katika enzi za ma-pharoah nchini Misri. Ni densi ambayo isingekosekana kwenye sherehe muhimu. Harusi …

Marekani Yaimwagia Lawama Misri na Falme za Kiarabu

MAOFISA nchini Marekani wamesema mataifa ya Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu zilihusika na mashambulio nchini Libya wiki iliyopita kuwalenga wanamgambo wa Kiislamu wanaopambana na vikosi vya Serikali. Ofisa mmoja Mkuu wa Marekani aliwaambia wanahabari kuwa Marekani haikushirikishwa katika mashambulio hayo na ilishangazwa. Makombora hayo yaliofyetuliwa Tripoli yanasemekana kutekelezwa na Umoja wa milki za kiarabu kwa kutumia kambi za …