Mkurugenzi Mkuu Mpya NSSF Alikagua Daraja la Kigamboni

Wataalamu wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara alipofanya ziara kukagua ujenzi wa daraja hilo leo. Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula.   …

Waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa Akagua Ujenzi Daraja la Kigamboni

 Barabara zinazoingia katika Daraja la Kigamboni. Mkurugezi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akimkaribisha Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa alipofanya ziara ya kuangalia maendekleoa ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza wakati alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo linalotarajiwa kuanza …

NSSF Kukabidhi Daraja la Kigamboni Januari 2016

Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau wakati ziara yake Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akifafanua jambo.  Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza wakati alipofanya ziara katika Daraja la …

Spika Makinda Avutiwa na Miradi ya NSSF Dar

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa miradi mikubwa mbalimbali linayoendelea kuwekeza nchini ambayo imekuwa chachu ya maendeleo na kukuza hadhi ya nchini. Spika Makinda ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akitembelea baadhi ya miradi mikubwa ya NSSF iliyopo jijini Dar es Salaam, ukiwemo mradi …