Zaidi ya Milioni 414.9 Zatolewa Kuwasaidia Vijana

Na Daud Manongi MFUKO wa Maendeleo ya Vijana (YDF) umeendelea kuwa miongoni mwa fursa zinazowasaidia vijana katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira miongoni mwao. Haya yamebainishwa na Msemaji wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Concilia Niyibitanga wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam ambapo alisema kupitia mfuko huo vijana wanapata mikopo ya riba …