Ma-RC, DC Watakiwa Kudhibiti Migogoro ya Ardhi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao husika. Ametoa agizo hilo Jumatano, Desemba 23, 2015 wakati akizungumza na viongozi wa mkoa wa Lindi kwenye Ikulu ndogo mara baada ya kuwasili akitokea jimboni kwake Ruangwa. “Ardhi ni mali …