Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

MKUTANO mkubwa wa kimataifa kuhusu masuala ya afya umeambiwa kuwa ugonjwa wa ebola umethibitisha kuwa dunia haijajenga uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa makubwa ya mlipuko. Aidha, mkutano huo uliofanyika, Januari 27, 2015, katika mji mkuu wa Ujerumani wa Berlin, umeambiwa kuwa ugonjwa huo wa ebola umethibitisha kuwa mifumo wa afya ya umma kwa baadhi ya nchi bado ni …