JKT Ruvu Yaichapa Simba Fainaliza Mashindano ya FASDO Dar

     Timu ya Simba chini ya Umri wa Miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpira kuanza dhidi ya JKT Ruvu  Timu ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla mechi haijaanza dhidi ya Simba  Mpira ukiwa unaendelea huku ikiwa ni vuta nikuvute ambapo JKT Ruvu waliibuka washindi wa mabao …

DarCity Veterans Wapepetana Dhidi ya Boko Beach Veretans

 Kikosi cha DarCity Veterans, kinachoongozwa na Mwanasoka wa zamani, Tippo Athuman Shaaban “Zizzou” (Wa nne kulia waliosimama) kikiwa katika picha ya pamoja, kabla ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Timu ya Boko Beach Veretans (BBV), uliopigwa Julai 24, 2016 kwenye Uwanja wa BBV, Boko Jijini Dar es salaam. Mchezo huo uliowakutanisha pamoja wakombwe mbali mbali wa Soka nchini enzi …

Dk Mukangala Aipongeza NSSF Kuviunganisha Vyombo vya Habari

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuviunganisha vyombo vya habari anuai nchini Tanzania kupitia tasnia ya michezo. Dk. Mukangala ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni …