RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete mwezi ujao, Oktoba 17, 2015, atazindua rasmi Kituo cha Michezo cha Kisasa cha Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu, Dar es Salaam, kituo cha kwanza cha aina yake nchini chenye kulenga miongoni mwa mambo mengi kuanza kulea wanamichezo tokea wakiwa wadogo. Rais Kikwete alikubali kuzindua Kituo hicho …
Waziri Pinda Afunga Michezo ya Majeshi Afrika Mashariki
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki hayana budi kuendeleza umoja na mshikamano ili kukuza udugu uliopo. Ametoa kauli Agosti 29, 2014 wakati akifunga mashindano ya Michezo ya Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uwanja wa Amaan, mjini Zanzibar. Waziri Mkuu ambaye kabla ya kuhutubia umati ulioshiriki …
Rais Kikwete Aipongeza Timu ya Watoto wa Mitaa, Yatambulishwa Bungeni…!
RAIS Jakaya Kikwete ameipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kwa kutwaa Kombe la Dunia huko Rio de Janeiro – Brazil. “Mmetuwakilisha vyema, ninawapongeza sana, pia mmewapa moyo watoto wengine wote wenye vipaji maalum lakini hawakubahatika kuwa na makazi rasmi, hongereni sana” Rais amesema. Timu hiyo ya watoto wenye umri chini ya miaka 16 (under 16) ilipangwa kundi la …
Tanzania Yatwaa Ubingwa wa Dunia Brazil
TIMU ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani baada ya jana, Aprili 6 mwaka huu kuilaza Burundi mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa jijini Rio de Janeiro, Brazil. Mshambuliaji Frank William alifunga mabao matatu katika mechi hiyo iliyochezwa uwanja mkongwe na maarufu wa klabu ya Fluminense huku mgeni rasmi akiwa …
- Page 1 of 2
- 1
- 2