Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani Washerehekea Miaka 24

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya kusherehekea Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani, iliyofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, Kenyatta Drive Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (kulia) na akikaribisha …