Mgonjwa wa Ebola Marekani Afariki, Mwili Wake Kuuliwa Virusi

HATIMAYE Mgonjwa wa Ebola aliyegundulika hivi karibuni nchini Marekani amefariki dunia, baada hali yake kuendelea kuwa mbaya huku kukiwa hakuna msaada mwingine wa kumsaidia kimatibabu. Thomas Eric Duncan ambaye alikuwa ni mgonjwa pekee wa Ebola nchini Marekani amefariki dunia leo mapema asubuhi baada ya hali yake kuendelea kuwa mbaya, wamesema maofisa wa Hospitali ya Presbyterian ya Texas. Marehemu Eric Duncan …