Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Magufuli Awasili Mwanza Kujitambulisha

 Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo. Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake, nje ya ofisi za CCM mkoa, ambao walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dk. Magufuli amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini …