Mgombea Mwenza CCM Ahaidi Pikipiki 30 za Mikopo kwa Vijana Vunjo

Na Joachim Mushi, Rombo MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetoa kipaumbele kwa kuwawezesha vijana na akinamama ili kupambana na suala zima la kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana na kuinuwa kipato cha wanawake ambao wana mchango mkubwa katika jamii. Bi. Samia pia ameahidi kuwapatia pikipiki 30 za mikopo kwa …

Mgombea wa Urais wa CCM Asaini Hati ya Kiapo Mahakama Kuu

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli  akikabidhi hati ya Kiapo mapema leo mchana kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Sekieti Kihiyo (katikati). Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakama kuu jijini Dar es Salaam  Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan.  Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. …

Mgombea Ubunge Jimbo la Mkwajuni Salimini Amour Ajinadi

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Khamis Mohammed Jecha akifungua rasmini Kampeni xza Wagombea Uwakilishi Ubunge na Udiwani wa Jimbo la Mkwajuni katika Tawi la CCM Moga A Wilaya ya Kaskazini Unguja. Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Amini Salimini Amour Juma akiwahutubia Wananchi wa Tawi la CCM Moga A Kaskazini …

Mgombea Urais Ukawa; Hakijaeleweka

MAMBO yamekuwa mazito. Ndivyo inavyoonekana baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kushindwa kutangaza mgombea urais jana badala yake ukatoa ahadi mpya kwamba sasa atatangazwa muda wowote ndani ya siku saba. Kauli hiyo inayoibua maswali mengi imekuja baada ya viongozi wa umoja huo waliofanya vikao hadi usiku jana bila ya viongozi wakuu wa CUF ambao …

Fainali Mgombea wa Ukawa Yawadia Leo

NI fainali leo pale vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakapompitisha mgombea wake urais atakayepambanishwa na yule wa CCM, Dk John Magufuli aliyepitishwa Dodoma juzi. Fainali hiyo ndani ya Ukawa inatarajiwa kuhitimisha mvutano uliokuwapo baina ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ambaye tayari amechukua fomu kuwania urais ndani ya umoja huo na mgombea anayetajwa na Chadema, Dk …