Mfumuko wa Bei Wapanda Tanzania

Na Aron Msigwa – Maelezo, Dar es Salaam MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2014 umeongezeka hadi kufikia asilimia 6.7 kutoka asilimia 6.5 iliyokuwepo mwezi Julai kutokana na kuendelea kupanda kwa bei ya baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini. Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa ya ongezeko hilo Dar es …

Mfumuko wa Bei Julai Wapanda hadi Asilimia 6.5

Na Aron Msigwa – MAELEZO OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa ongezeko dogo la mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 6.4 za mwezi June hadi asilimia 6.5 za mwezi Julai 2014 linatokana na kupanda kwa bei za baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii …