Mfumuko Bei za Vyakula Walitesa Soko Kuu Mwanza

Kwa takribani Wiki mbili sasa, Mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali kupanda katika Soko Kuu la Jijini Mwanza umeendelea kuwaliza watumiaji wa soko hilo. Mfumuko huo unalalamikiwa na pande zote mbili kwa maana ya wauzaji na wanunuaji sokoni hapo, ambapo wameomba hatua za haraka kuchukuliwa ili kiweka mambo sawa. Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 …

Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Wazidi Kuongezeka

Na Aron Msigwa – MAELEZO   OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa …