Mfumuko wa Bei Desemba ni Asilimia 4.8

Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 iliyokuwepo mwezi Novemba kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini. Akitoa taarifa ya Mfumuko wa Bei wa Taifa leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi …