Meya Kinondoni Awakabidhi Soko Wafanyabiashara Ndogondogo

Na Mwandishi Wetu MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya Manispaa ya Kinondoni. Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu 2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo …