MeTL Kupanua Soko Lake la Mafuta Afrika Mashariki na Kusini

  Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bi. Mizinga Melu akizungumza kwenye hafla ya utiliaji saini wa mkopo wa bilioni 100 za kitanzania baina ya benki yake na kampuni ya MeTL mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi wetu KAMPUNI ya Mohammed Enterpries Tanzania Limited (MeTL GROUP) kupitia kampuni yake dada ya kuingiza, kuhifadhi na kusambaza mafuta nchini ya Star …