Meno ya Tembo vipande 8 vyenye uzito wa kilo 50 ya thamani ya milioni 120 ambayo ni sawa na Tembo hai wane aliyokamatwa nayo hivi karibuni mtuhumiwa Nzuri Ndizu Mkazi wa Kijiji cha Mbede Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi KAMANDA wa Polisi wa Mkoa Katavi Dhahiri Kidavashari akiwa ameshika meno ya Tembo aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Nzuri Ndizu mkazi wa Kijiji cha Mbede Wilaya …