CCM Kuwachunguza Lowassa, Sumaye, Membe na Wassira

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepanga kufanya tathmini kwa wanachama wake ambao iliwaadhibu kwa kile kuonesha utovu wa nidhamu kwa wao kuanza kampeni za kugombea urais ndani ya chama hicho mapema kabla ya muda kutangazwa. Mapema Februari 2014, CCM iliwaadhibu waliokuwa mawaziri wakuu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye, mawaziri Benard Membe, Stephen Wassira na Naibu Waziri, January Makamba …