Lowassa, Membe Waendelea Kusaka Wadhamini Mikoani…!

WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini Chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.  Lowassa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma katika ofisi kuu za CCM Mkoani humo, wakati akitoa shukrani baada …

Membe Anusurika Kifo Ajali ya Ndege Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe , amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa kwenda Zanzibar kutaka kugongana uso kwa uso na ndege nyingine ikiwa inadakika moja kabla ya kutua. Waziri Membe akiwa na ujumbe wake wa watu wanane, walikuwa wakisafiria ndege ya kukodi ya kampuni ya 5H NEG …

Watangaza Nia CCM Waendelea Kusaka Wadhamini; Lowassa, Wasira na Membe…!

  Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisalimiana na motto mwenye ulemavu wa ngozi, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye ulemavu wa ngozi cha Buhangija mkoani Shinyanga, mara baada ya kupata wana CCM wa kumdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba chama kimteue kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.  Lowassa amabaye yuko …

Waziri Membe Mgeni Rasmi Tamasha la Qaswida Dar

Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano ya kuimba Qaswida yatakayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa mgeni rasmi akiwa Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernald Membe. Tamasha hilo litafanyikaMei 25 kuanzia …