Matukio Katika Picha Sherehe za Mei Mosi Mkoani Kilimanjaro

Wafanyakazi wa Shirika la Umeme(TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro wakipita na gari lao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu chaUshirika  mjini Moshi.  Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakipita katika maonesho ya Mei Mosi Mkoani Kilimanjaro. Chuo cha wauguzi Kibosho pia walipita mbele ya mgeni rasmi kuonesha nini wanafanya katika sherehe hizo za …

NEC Yahimiza Kujiandikisha Wapiga Kura Sherehe za Mei Mosi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015. Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi …