Mchungaji Josephat Gwajima Atakiwa Kufunga Kanisa…!

KANISA lisilo rasmi la Mchungaji Josephat Gwajima lililopo katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam limeamuriwa kufungwa na kuondoka mara moja eneo hilo. Kwa mujibu wa barua ya wamiliki wa eneo hilo, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) imemtaka Mchungaji Gwajima kuondoka eneo hilo mara moja ili kupisha shughuli nyingine za wamiliki wa eneo hilo. Taarifa …