Mchezaji wa Soka Marekani Ajitangaza Shoga

MCHEZAJI mmoja wa timu ya mpira wa miguu ya nchini Marekani, National Footbal League (NFL), Michael Sam amejitangaza kuwa yeye ni shoga. Sam anakuwa ni mchezaji wa kwanza kutangaza wazi kwamba yeye ni shoga katika mchezo wa mpira wa miguu Marekani. Sam alikuwa ameteuliwa na timu ya Saint Louis Rams katika siku ya mwisho ya usakaji wa vipaji katika mchezo …